Monday, March 18, 2013

Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi kuzindua ujenzi wa Tassisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Hopitali ya Muhimbili

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi ujenzi wa awamu ya tatu ya jengo la Taasisi ya magonjwa ya mifupa na mishipa ya fahamu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo asubuhi leo asubuhi.Kulia ni Nabu Waziri wa Afya Dr.Seif Rashid. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment