Thursday, March 28, 2013

MWILI WA MBUNGE WA CHAMBANI KUAGWA KESHO 29 MARCH,,, JIJINI DAR ES SALAAM


 Wanafamilia ya Marehemu, Salim Hemedi Khamisi,  Mbunge wa Chambani wakilia kwa uchungu Salim Hemedi Khamisi
 Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Wananchi CUF wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakijadili
jambo wakati wakisubili mwili wa marehemu,Salim Hemed Khamisi, Mbunge wa Chambani Pemba, Dar es Salaam.
 Baadhi ya familia ya Mbunge wa Chambani Marehemu, Salim Hemedi Khamisi, wakiwa na hudhuni kumwa baada ya mpendwa wao kufaliki dunia.
 Mke wa Mbunge wa Chambani Marehemu Salim Hemedi Khamisi wa pili kulia, Asla Saidi Zaharani, akili kwa uchungu baada ya kupewa taalifa ya kifo cha mume wake.
 Spika wa Bunge, Anne Makinda, akiwafaliji viongozi wa Chama cha wananchi CUF kutokana na kifo cha mbunge wao,Salim Hemedi Khamisi,Salim Hemedi Khamisi, katika Hosptali ya Taifa Muhimbili
 Spika wa Bunge, Anne Makinda,akimfariji Mke wa Marehemu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.
  Baadhi ya watoto wa Marehemu, Salim Hemedi Khamisi wakiwa na hudhuni kutokana na kifo cha baba yao mpendwa.
Spika wa Bunge akiwafariji wanandugu wa wa marehemu Mbunge wa Chambani, Salim Hemedi Khamis
 Waziri wa Ulinzi, Shamshi Vuai Nahodha,akisalimiana na wanafamilia wa marehamu, Salim Hemedi Khamis

Mwili wa Marehemu ukungizwa katika Gari kwajili ya kuupeleka katika msikiti wa Shadhiri kwa  jili ya kuhuifadhiwa.

No comments:

Post a Comment