Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho mara baada ya kuweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliyefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti
Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini
na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari
7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe
Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliyekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa makampuni ya IPP,Mh Reginard Mengi akiweka shada la maua kwenye
Kaburi la aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali
ya Selian,Jijini Arusha.
katibu
Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Abdularhaman Kinana akiweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Sanduku
lenye mwili wa merehemu aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu
Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya
Hospitali ya Selian,Jijini Arusha,wakitoka nje ya kanisa na kuelekea
sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya maziko nje kanisa hilo.
Rais
Kikwete akitoa salamu za rambi rambi mbele ya waombolezaji (hawapo
pichani) ndani ya kanisa kuu la KKKT,waliofika kushiriki mazishi ya
aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.
Sehemu ya viongozi wakuu wa Serikali wakiongozwa na Rais Kikwete,wakati wa mazishi ya mazishi
ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.
sala
ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali
ya Selian,Jijini Arusha
No comments:
Post a Comment