Thursday, February 21, 2013

HAWA NDIO WALIOMKATA MKONO ALBINO MARIA

Watuhumiwa watano wakiwa katika Mahakama ya Hakimu  wa Wilaya  ya Sumbawanga mkoani Rukwa wanatuhumiwa  kwa kumnyofoa  mkono wa  mwanamke mlemavu (Maria Chambanenge (39) (hayupo pichani) na kutokomea  nao  na kumjeruhi vibaya kichwani  kisha kuufukia  porini  kijijini  Miangalua.

No comments:

Post a Comment