MBONGO NA MKENYA WAPIMA UZITO KUONYESHA UMWAMBA LEO, KUSAKA UBINGWA WA AFRIKA MASHARIKI.
Bernad Mcociech kutoka Kenya akipima afya kabla ya mpambano wake wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika leo katika ukumbi wa Frends Corner Manzese dhidi ya Bondia wa Tanziania Thomas Mashali
Mabondia
Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya
wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito Dar es salaam jana kwa ajili
ya mpambano wao wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika leo katika
ukumbi wa Frends Corner Manzese
No comments:
Post a Comment