POLISI WAMUUA MWANDISHI WA HABARI IRINGA WAMSAMBARATISHA UTUMBO KIA KITU
Polosi wakijiandaa kumuua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi wa Kituo Cha Televisheni cha Channel Ten jana katika vuguvugu la Chadema Mkoani Iringa Daudi anaonekana akiwa amemkumbatia Mmoja wa Askari na askari mwingine akimpiga bomu.
Huu ndio mwili wa Mwandishi wa habari aada ya kusambaratishwa na Bomu anaonekana askari akiwa amekaa karibu na mwili huo