Sunday, August 19, 2012

NI ZOLA- D NA MCHUMIATUMBO ULINGONI

Bondia David Michael Mlope (Zola D – King) (kushoto) akitunishiana msuli na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.picha na

Bondia David Michael Mlope (Zola D – King)  akipima uzito leo kwa ajili ya mpambano wa idi pili utakaofanyika katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke

Mwenyekiti wa SHIWATA Cassim Taalib katikati akiwainua mikono juu mabondia  David Michael Mlope (Zola D – King)  kushoto na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo)

BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA David Michael Mlope (Zola D – King) KULIA

Nani zaidi