Warembo wa 5, waliofanikiwa kutinga
katika hatua ya Fainali ya shindano la Miss Kanda ya Mashariki, baada
ya kuchuana vikali katika shindano lao dogo la Redd's Miss Kanda ya
Mashariki Talent, lililofanyika jana usiku kwenye Hoteli ya Usambara,
mjini Morogoro. Kutoka (kushoto) ni Mrembo, Joyce Baluhi, Shakhila
Hassan, Zuhura Gola, Irene Veda na Salvina Kibona, wakiwa katika picha
ya pamoja baada ya kutangazwa washindi. |