Saturday, July 28, 2012

YANGA WAJITAHIDI KIDOGO YAWA WASHINDI MICHUANO YA KAGAME

w

Wachezaji wakiingia uwanjani kwa ajili ya Mchezo wa Fainali uliofanyika  leo katika Uwanja wa Taifa

Kipre Cheche kulia Mchezaji wa timu ya Azam FC akikokota mpira mbelea ya beki wa Yanga Nidir Haroub Canavaro wakati wa mchezo wa fainali ya kombe la Kagame inayofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii, mpira umekwisha na timu ya Yanga imefanikiwa kutetea kombe la Kagame kwa mara ya pili mfurulizo baada ya kuitandika timu ya Azam FC goli 2-0 jioni hii.

Mashabiki wa Yanga wakishangilia mara baada ya Yanga Kushinda