WASANII WALIVYOFUNIKA KWENYE TAMASHA LA TIGO J.MOSI NDANI YA VIWNJA VYA COCOm
Msanii Joh Makini akitoa Burudani yake ambayo ilionekana kuwapagawisha mashabiki waliohudhuria kwenye Tamasha hilo.
Joti naye alikuwemo ambapo punde tu baada ya kupanda jukwaani Mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha la Tigo walishangilia mpaka wakavuja Tv iliyokuwepo kwa ajili ya kuonyesha fainali ya ligi za ulaya.
Mpoki mwenyewe ndani ya jukwaa katika tamasha hilo.