Wanakijiji 32 wakaziwa Mbezi beach kata ya kilongawima wameapa kwenda mahakamani kudai haki yao kwa kubomolewa nyumba zao wakati walikuwa wanamiliki kihalali huku baadhi yao wakiwa na nyaraka muhimu zinazo onyesha uhalali wao kumiliki maeneo hayo. anayeonekana ni mmoja wa waliobomolewa nyumba yake. |