Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza zoezi la kukata utepe likiwa ni ishara ya kuzindua mradi wa maji safi na mazingira, mjini Mbeya leo mchana. Wakwanza kushoto ni Kamishna wa maendeleo ya Ulaya Adris Piebargs na wapili kutoka kushoto ni Philberto Sebreggondi balozi wa jumuiya ya ulaya na mwisho kulia ni Waziri wa Maji Profesa Jumanne Magembe. |