Hizi ni baadhi ya bidhaa ambazo zinauzwa bei ya juu
tofauti na ilivyokuwa kabla ya mfungo wa
mwezi wa Ramadhani(mwezi mtukufu) ambapo chungwa moja kwa sasa linauzwa kwa
shilingi 150 mpaka 200 wakati mwanzo lilikuwa linauzwa kwa bei ya shilingi 50
mpaka 100. Imekuwa ni kawaida ya bidhaa kuuzwa kwa bei ya juu ambapo wengi wa
wananchi wamekuwa wakilalamikia bei hizi kutokana na wao kushindwa kuzimudu
ipasavyo.
|