Thursday, July 26, 2012

MADIWANI WA ILALA WAPITISHA SHERIA YA MFUKO WA BIMA YA AFYA KATIKA MANISPAA HIYO

Meya wa manispaa ya Ilala akiongea na madiwani waliohudhuria katika mkutano huo ambapo walihafikiana kupitisha sheria ya Mfuko wa bima ya Afya kuanza kutumika katika manispaa ya Ilala.