Friday, July 27, 2012

ETI HUYU RAMA NDO AMEMTEKA DK ULIMBOKA?

Hili ni moja ya Gazeti ambalo MAASINDA ilikutana nalo likiwa linamfichua mtu aliyemteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madktari Dk Steven ulimboka