Tuesday, July 31, 2012

NI SIKUKUU YA KUZALIWA KWA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Mkuu wa chuo kikuu ha Tanzania Dr John Malecela akikata utyepe
kuashiria uzinduzi wa embo Maalum ya kuadhimisha miaka ishirini ya
Chuo kikuu huria cha Tanzania ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika
kituo kipya cha Chuo kikuu huria Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es
salaam,

Mkuu wa chuo kikuu ha Tanzania Dr John Malecela wakwanza kushoto
akiwa kwenye picha ya pamoja na na baadhi ya Viongozi wa chuo hicho.