Mchezaji wa Filamu kutoka
nchini Naigeria Omotola Jalade katikati akiwa katika picha ya pamoja jana
na mwigizaji Wema Sepetu kushoto na Khadija Mwanamboka pamoja na
watoto yatima wa kituo cha Tanzania Mitindo House cha jijini Dar es
salaam Omotola amekuja nchini kwa ajili ya uzinduzi wa filamu
ya Wema Sepetu ianayokwenda kwa jina la, Super Star ambayo imezinduliwa juzi kwenye hoteli ya
Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam PICHA KWA HISANI YA 8020FASHION |