Mwenyekiti wa
soko la machinga Complex Bw.Abubakari Rakeshi (katikati)akiongea katika mkutano
wa wafanyabiashara wa soko hilo leo jijini Dar es salaam katika kutambulisha
uwongozi upya wa soko hilo na kuhakiki wafanyabiashara wangapi walioko ndani ya
soko hilo na wangapi hawapo (kushoto)Mwenyekiti msaidizi wa soko hilo
Bw.Geradi Mpagama.(na wakwanza kulia) Meneja wa jengo la machinga COMPLEX
Bw.Nyamsukura Masondore,mkutano huo ulifanyika katika soko la machinga COMPLX
leo.
|