Wednesday, May 8, 2013

WANAWAKE TANZANIA WAZINDUA RASMI ILANI YAO YA MADAI YA KATIK A KATIBA MPYA

BAADHI YA WANAWAKE WALIOHUDHURIA KATIKA HAFLA HIYO YA UZINDUZI WA ILANI YA MADAI YA WANAWAKE KATIKA KATIBA MPYA WAKIWA NA MABANGO MBALIMBALI



    KinaMama nchini leo wamezindua ilani ya ya madai ya wanawake wa Tanzania juu ya katiba mpya ambapomgeni rasmi alikuwa ni Naibu waziri wa katiba na sheria Mh ANGELA KAIRUKI  tukio ambalo limeandaliwa na mtandao wa jinsia tanzania

    Naibu waziri amewashukuru watanzania wanawake kwa kuonyesha umoja wao katika kutaka katiba nzuri ambapo amewasihi kuwa wazidishe umoja zaidi,

 

 

 

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA mh ANGEL KAIRUKI AKIKATA UTEPE WA KUZINDUA KITABU CHA ILANI YA MADAI YA WANAWAKE KATIKA KATIBA MPYA LEO JIJINI DAR ES SALAAM





No comments:

Post a Comment