Slaa Amesema kuwa, kupitia kampeni hiyo anauhakika kuwa Elimu itaboreka kwa asilimia nyingi katika Manispaa ya Ilala kutokana na kuwa hakutakuwa na uhaba wa Madawati tena na kila mwanafunzi katika Shule zilizopo katika manispaa hiyo watakuwa wanakaa kwenye madawati wote.
Ameendelea kusema kuwa, Mahitaji ya Madawati katika Manispaa hiyo ni madawati 16153 kwa shule za Msingi pamoja na Madawati 14334 kwa shule za Sekondari.
Meya wa Ilala Jerry Slaa akizungumza na waandishi wa habari leo katika Mkutano uliofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Hoteli jijini Dar e Salaam. |
No comments:
Post a Comment