Sunday, April 14, 2013

YANGA YAILAZA JKT OLJORO 3-0

  Mikakati ya ushindi
 Mshambuliaji wa JKT Oljoro, Paul Nonga akiwatoka mabeki wa Yanga, Kelvin Yondani na Othuman Idd ‘Chuji’ wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi. Yanga ilishinda 3-0. 


Mshambuliaji wa Yanga, Khamis Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka beki wa JKT Oljoro.

No comments:

Post a Comment