Friday, April 12, 2013

RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA MCC IKULU

  Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya   Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio  wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Millenium Challenge Cooperation(MCC) la Marekani Daniel Yohannes,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,akiwa na ujumbe wake. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati)akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Millenium Challenge Cooperation(MCC) la Marekani Daniel Yohannes,akiwa na ujumbe wake  akiwemo  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara  ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment