Friday, April 12, 2013

AZAM FC YAIFYATUA AFRICAN LYON 3-1

Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa African Lyon, Obina Salamsasa na Ndela Kashakala katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Chamazi jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog) 
 Abdi Kasim, 'Babi' (kushoto) akimtoka mchezaji wa african Lyon.
 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia jushindi wa timu yao baada ya kuifunga African Lyon mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

Mashabiki wa Azam FC wakiishangilia timu baada ya kuifunga African Lyon mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment