MTOTO HUYU MIAKA MITATU ALICHUKULIWA NA BABA YAKE KISHA BABA YAKE AKAMZIKA SEBULENI KWAKE AKIWA HAI |
MWILI WA MTOTO WA MIAKA MITATU BAADA YA KUFUKULIWA SEBULENI KWA BABA YAKE LILIKUWA NI TUKIO LA KUSIKITISHA TENA LA KINYAMA |
HUYU NAYE NI MTOTO AYUBU (8) AMBAYE ALITOWEKA NA MWILI WAKE KUKUTWA UKIWA HAUNA KICHWA |
HUYU NAYE ALIKUTWA AMEKATWA KICHWA NA WATU WASIOJULIKANA NA KUONDOKA NA KICHWA HICHO KISHA KUACHA KIWILIWILI. |
HUU NI MUENDELEZO WA MATUKIO YA KINYAMA YANAYOFANYIKA TANZANIA NDANI YA KISIWA CHA AMANI. MUNGU IREHEMU TANZANIA |
No comments:
Post a Comment