Aliyewahi
kuwa Waziri Mkuu, ambaye sasa ni Mbunge wa Monduli, CCM, Mh Edward
Lowasa (kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM, Mh Abdurahamani Kinana (kulia)
walikutana katika maeneyo ya ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam
hivi karibuni na kubadilishana maawazo.
(picha, maelezo kutoka kwa Chris Mfinanga)
(picha, maelezo kutoka kwa Chris Mfinanga)
No comments:
Post a Comment