Friday, April 19, 2013

FBI WASHAWASHUKU WAWILI WALIOHUSIKA KULIPUA BOMU KWENYE MBIO ZA MARATHON,, ONA WALIVYOWAGUNDUA


Fox News wameripoti na kuzianika picha za Washukiwa wa ulipuaji wa mabomu mawili kwenye mbio za Marathon mjini Boston Marekani ambapo watu watatu walifariki na wengine zaidi ya 170 kujeruhiwa.
Hizi hapa chini ni picha pamoja na video zikionyesha washukiwa wawili wanaume ambao FBI inaamini ndio wamehusika na kutega mabomu hayo mawili kwenye sehemu ambayo watu wengi walikuwepo kushuhudia mbio hizo za riadha.
.
Mwenye kofia nyeupe hapo ni mmoja wa hao washukiwa wawili.
.
Huyu ni mshukiwa mwingine na hapa ilikua kabla bomu halijalipuka, hii picha inawaonyesha wakielekea kwenye sehemu ambayo mbio ndio zinamalizikia ambako ndiko kulikolipuka.
.
.
.
Huyu ndio yule mshukiwa namba 1 anaeonekana kwenye picha ya kwanza hapo juu.
.
mshukiwa namba 1
.
.
.
Hapa ilikua baada ya bomu kulipuka ambapo mshukiwa namba 1 mwenye kofia nyeupe hapo kushoto ndio alikua anaondoka mdogo mdogo.
Pamoja na kwamba FBI wamewatambua washukiwa hawa wawili, bado hawajafanikiwa kuwakamata ndio maana wameomba msaada wa Wananchi kutoa taarifa watakapowaona.
.
.



No comments:

Post a Comment