Wednesday, April 10, 2013

DR, SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME MCC




 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, baada ya kuzindua mradi wa Umeme wa Njia ya Pili ,kutoka Ubungo  Dar es Salaam mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC  la Marekani,hafla hiyo ilifanyika jana katika kituo kikuu cha Umeme Mtoni Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu}
 Meneja Mkuu wa Shirikala Umeme Hassan Ali,(kushoto) akitoamaelezo kwa Viongozi mbali mbali walipotembelea Chumba Maalum chenye mashine za kupokea Umeme wa Njia ya Pili ,kutoka Ubungo  Dar es Salaam mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,akiwemo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu}
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) na wageni wake Balozi wa Marekeni nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,na  Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo,pamoja na Viongozi wengine wakiangalia majarida yaliyocha pishwa kuhusu mradi huo wa Umeme wakati wa Sherehe zilizofanyika uwanja wa Amaan Studium,{Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.}
 Balozi wa Marekeni nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,akitoa hutuba yake kwa Wananchi wa Zanzibar wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo  Dar es Salaam mpaka Mtoni,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,sherehe hizo zilifanyika katika uwanja wa Amaan mjini Unguja, {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
 Baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya  Mji wa Unguja, wakiwa katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo  Dar es Salaam mpaka Mtoni,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,na akiwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
  Baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya  Mji wa Unguja, wakiwa katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo  Dar es Salaam mpaka Mtoni,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,na akiwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, akitoa hutuba yake kwa Wananchi wa Zanzibar wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo  Dar es Salaam mpaka Mtoni,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,sherehe hizo zilifanyika katika uwanja wa Amaan mjini Unguja. {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu}

No comments:

Post a Comment