Sunday, April 14, 2013

DK. SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA ELIMU NA MFUNZO YA AMALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara  ya Elimu na
Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika
Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,( kushoto)  Makamo
wa Kwanza wa  Rais Maalim  Seif Sharif Hamad,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
  _MG_9536 
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali
mbali katika Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika ukumbi
wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha  utekelezaji wa Kazi
za  Wizara hiyo, kilichofanyika jana chini mwenyekiti Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
_MG_9540 

Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment