Saturday, April 13, 2013

ALCATEL WATIMIZA MIAKA 20 SOKONI NA KUZINDUA SIMU MPYA AINA YA ONE TOUCH

Afisa wa ALCATEL akielezea Simu mpya maarufu kama ALCATEL ONE TOUCH zinazopatikana sasa nchini Tanzania ambayo ni simu ya kisasa kutoka Nchini Ufaransa na inapatikana kwa bei nafuu zaidi.

Bw Nicholaus Visser Meneja  wa Alcatel South Africa, akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria katika Hafla ya kusherekea miaka 20 ya simu aina ya ALCATEL  pamoja na Uzinduzi wa Bidhaa Mpya kutoka ALCATEL ambayo ni simu aina ya ONE TOUCH

Baadaye Viongozi wa ALCATEL walikata keki ya Birthday ya kutimiaza miaka 20 kwa ALCATEL.



Happy Birthday Alcatel

No comments:

Post a Comment