Pichani ni Mhariri Mtendaji wa New Habari Cooperation,
Absolom Kibanda ( katikati) akiwa na Hoyce Temu (kushoto) na Angela Semaya nchini Afrika Kusini wakati
akina dada hao walipomtembelea kumjulia hali. Kwa Mujibu wa Hoyce Kibanda
anawasilimu sana Watanzania wote nay eye yupo vizuri sasa akiendelea na matibabu.
No comments:
Post a Comment