Msanii wa filamu, Kajala Masanja
akiwapungia mkono ndugu, jamaa na watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, ambapo kesi yake ilitolewa hukumu ya kwenda
jela miaka 7 au kulipa faini ya sh. milioni 13. Kajala ambaye alilipiwa faini
hiyo, alikuwa anakabiliwa na makosa ya kula njama, kuamisha umiliki wa nyumba iliyokuwa
imezuiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali isiuzwe. (Picha na Habari Mseto Blog)
Kajala akiwa na ndugu zake.
Kajala akitoka mahabusu kabla ya kusomewa hukumu yake leo.
Msanii wa Filamu Mahsin Awadh akiwa na msanii mwenzake Elizaberth Michael 'Lulu'
Dk. Cheni akiwa na Lulu
Kajala akiondoka katika eneo la Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Wema Sepetu akiwa na Kajala
Kajala akisindikizwa na wasanii wenzake wakati akitoka mahabusu baada ya kulipiwa faini ya milioni 13 na kuachiwa huru.
No comments:
Post a Comment