Saturday, February 2, 2013

HIVI NDIVYO HAFLA YA KUITATHMINI LIGI KUU YA VODACOM ILIVYOENDA...!!!

Baadhi ya wahariri wa magazeti ya michezo wakimsikiliza Katibu wa 
 TFF Angetile Osiah,wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom 
iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo 
 ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa,
akizungumza  na wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na 
wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom 
 iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo 
 ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
 Mwandishi wa habari wa Clouds radio Bw.Shafii Dauda (kushoto)akibadilishana 
 mawazo na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania,Bw.Ibrahim Kaude, 
wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na 
mdhamini 
mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya 
Southern Sun jijini Dar es Salaam.
 Katibu wa  TFF Angetile Osiah,(kushoto)Afisa Mtendaji Mkuu wa kamati 
ya ligi kuu Silas Mwakabinga,pamoja na Mjumbe wa TFF Saad Kwemba,
wakibadilishana mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya 
Vodacom 
iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo 
ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
 Katibu wa  TFF Angetile Osiah(kushoto)akimsikiliza jambo Mkuu wa
 Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa, wakati wa
 Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini 
mkuu 
wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern 
Sun jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa  chama cha waandishi wa habari Tanzania Bw.Juma Pinto 
akizungumza na baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja 
na wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom 
 iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo 
 ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahariri wa michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari 
wakibadilishana mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom 
iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo 
ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
 Wadau wa michezo ...

No comments:

Post a Comment