Thursday, January 24, 2013

WANAWAKE WANAODAIWA KUFANYA BIASHARA YA UKAHABA WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMA YA JIJI LA DAR ES SALAAM


Wanawake wanaodaiwa kufanyabiashara ya ukahaba wakiwa Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni. Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni.
Wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakisubiri kusomewa mashitaka yao
Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao wasipigwe picha.


No comments:

Post a Comment