Thursday, January 24, 2013

NATAFUTA SHILINGI AISEE MAISHA NI MAGUMU

Mlemavu wa Ngozi(Albino) akiwa anafanya bihashara ya umachinga leo, huku kukiwa na jua kali kama alivyokutwa na kamera ya MAASINDA maeneo ya  Posta jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment