Sunday, January 27, 2013

MAAJABU!! SHILINGI MIA YAMPIGA RISASI MKAZI WA TANDIKA


 MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa (Picha Na Christopher Nyenyembe )
Hapa akiugulia Maumivu

No comments:

Post a Comment