Saturday, January 26, 2013

HIVI NDIVYO MJI WA MTWARA ULIVYO KIPINDI HICHI,,, HALI SI SHWARI

Inayosemekana kuwa ni Nyumba ya waziri na ss imewshwa moto na wananchi
HII NDIYO INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MH. MBUNGE WA MTWARA VIJIJINI BI. HAWA GASIA AMBAYO IMEHARIBIWA NA MAWE NA KISHA KUTEKETEZWA KWA MOTO.
Vijana kwnye tension kubwa
BAADHI YA WANACHI WA MKOA WA MTWARA WAKIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO.
Nyumba inayosemekana kuwa ya Mwnyekiti wa CCM
INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MBUNGE MSTAAFU NA MWENYAKITI WA CCM MKOA WA MTWARA 
IKIWA IMEVUNJWA VIOO  KW MAWE NA WANANCHI.


Stand ipo hivi tangu saa 10 jioni
STENDI KUU YA KUU YA MKOA WA MTWARA KAMA INAVYOONEKANA IKIWA HAKUNA  ABIRIA KAMA ILIVYOZOELEKA KUWA   MAJIRA YA SAA KUMI JIONIKUNAKUWA NA ABIRIA WENGI WAKIWA WANASUBIRI MAGARI.
Hapa ni karibu na Dubai restaurant
BARABARA ZOTE ZA MJINI MTWARA ZILIFUNGWA NA HII NI MOJA YA BARABARA ZA MTAA WA SINANI.


Mtwara...hapashikiki aiseee
MOTO ULIOWASHWA KATIKATI YA BARABARA. BAADA YA BARABARA HIZO KUFUNGWA.


mtwara mpya iyoo!
HII NI BARA BARA IKIWA IMEFUNGWA KWA KUWASHWA MOTO

No comments:

Post a Comment