Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012
eneo la Tenki fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande
ni mfanyakazi katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM). |
No comments:
Post a Comment