Wednesday, December 19, 2012

NATAFUTA PESA ZA KRISMASS

Kazi ni Kazi, Huyu ni Kijana aliyekutwa na Mpigapicha wa Maasinda akiwa katika harakati za kutafuta wateja ambapo anauza viazi vitamu anavyovichoma mwenyewe Bila kuhofia Usalama wa Maisha yake.

No comments:

Post a Comment