Msimamizi Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Max Malipo Bw, Ahmed Lusasi akionyesha Mashine ya kielektroniki Mbele ya Wsaandishi wa Habari mara baada ya Kuingia mkataba wa Kibiashara na Kampuni ya Zuku leo katika Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam juu ya Kampuni yao kuingia mkataba wa Kuuza Vocha za Zuku ambapo leo wameweza kusaini Mkataba utakaowawezesha wateja wa Zuku kulipia Vifurushi vyao popote kupitia mawakala wa Max Malipo. |
No comments:
Post a Comment