Monday, December 17, 2012

MAWAKILI WAONGEZEKA TANZANIA


Jajii Mkuu wa Tanzania Othman Chande akisoma Risala yake leo wakati alipo wakubali mawakili wapya 618 walipotunukiwa leo katika Chuo cha Sheria kilichopo jijini Dar es Salaam
 Hawa ni baadhi ya Majaji kati ya Majaji 618 waliokubaliwa leo na Jaji mkuu wa Serikali
Jaji Chande akiwa na majaji wengine

No comments:

Post a Comment