| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakionesha cheki ya Shilingi
bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa
hospitali maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na
Ugonjwa wa Fistula pamoja na ulemavu mwingine.Wengine katika picha
kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi
Mtendaji VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali
ya CCBRT Bwana Telemans Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
Bwana Said Meck Sadik(picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment