|
Mbalawa
akisema Machache wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo. |
Mkutana wa kujadili namna ya kutumia Namba moja
kupiga mitandao yote umefunguliwa Rasmi na Waziri wa Mawasiliano Sayansi
na Teknolojia Prof Makame Mnyaa Mbalawa
ambapo amesema kuwa anawashukuru
TCRA kwa kutaka kuipeleka nchi katika
mfumo wa Kitechnolojia.
“Hii siku ni siku ambayo ilikuwa inasubiriwa sana na
hatimaye imefika na sasa mkutano huu umefunguliwa Rasmi na nnawatakia Kila la Kheri katika
majadiliano yenu”, amesema Prof Mbalawa.
|
Mkurugenzi wa TCRA akiwa katika Mkutano huo akielezea namna huduma hiyo itakavyokuwa inafanya kazi |
|
Dr Vuai Vila akizungumza katika mkutano huo ambao umeanza
leo katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam na unaendelea
Kwa siku na Kesho.
|
|
Baadhi ya Washiriki |
No comments:
Post a Comment