|
Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil
Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya
Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali leo na watu wasiojulikana wakati
akifanya mazoezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe. Sheikh
amepelekwa Dar es Salaam kwa matibabu kwa ndege ya serikali leo hii. |
Habari hii ni kwa msaada wa mtandao