Mwana dada aliyevalia Vazi ambalo anafikiri kwa akili yake kuwa ni la Kitanzania na kwa namna alivyokaa anafurahia kabisa na anajiona kuwa yupo kwenye Pozz lisilokuwa na mfano. |
Dada huyu alikuwa kwenye Mashindano ya Epic Bongo Star Search yaliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi Juzi.
Rai yangu kwa kina dada wa Tanzania na Afrika kwa ujumla nikwamba mkivaa hivi hampendezi lakini mkivaa mavazi yetu ya asili ya Kiafrika mnapendeza zaidi kutokana na Maumbo yenu Mazuri,.
Mavazi Kama haya Tuwaachie Wazungu wasiokuwa na maumbo ya kuvalia magauni na skirt ndefu.
No comments:
Post a Comment