Wednesday, November 14, 2012

HAYA NI MADARASA YA WANAFUNZI WA SHULE ZA SENT KAYUMBA

Haya ni majengo ya vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Msingi Ndonga Wilayani Nyasa ambavyo viliezuliwa na kubomoka tangu mwaka jana, wanafunzi wamekuwa wanasomea huku wakipigwa na jua.

Wanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Ndonga Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma wakisomea darasa ambalo halijaezekwa kwa mwaka mmoja sasa mvua na jua vikiwakabili.
Picha Kwa hisani ya Jamii Forum

No comments:

Post a Comment