Monday, November 5, 2012

HUU NDIO UHABA WA MAFUTA UNAOZUNGUMZIWA JIJINI MBEYA

Hizi ni baadhi ya bodaboda zilizopo kwenye folen ya kupata mafuta jijini mbeya mabapo ndivyo hali ilivyo hivi sasa kutokana na uhaba wa mafuta ulioanza hivi karibuni.

Baadhi ya watu wakiwa wamejipumzisha baada ya kuchoka kusubiri mafuta katika moja ya kituo cha kuuzia mafuta jijini Mbeya

Sheeeet!!!!!!!