Friday, October 12, 2012

UKISIKIA UKEKETAJI NDO UNAKUAGA HIVI!!

maasinda

Sidhani wala sifikiri kweli kwamba mambo kama haya ni sawasawa, kama wote tukilaani na kuchukia vitendo kama hivi basi ni dhahiri kwamba tutalijenga Taifa  lenye amani na upendo lakini ikiwa hivi hamna upendo hata Chembe.(kama unapinga kitendo kama hiki tutumie maoni yako katika email hii, kivuyoe@gmail.com)