Friday, October 12, 2012

RPC WA MWANZA AFARIKI DUNIA

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi  Liberatus Barlow ameuawa usiku  wa kuamkia leo majira ya saa nane na kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba ameuawa na majambazi..
Taarifa zisizo Rasmi kutoka Mwanza ambazo i zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili.
Hata hivyo, taarifa hizo bado hazijaweza kuchunguzwa na vyombo vya habari.