Wednesday, October 10, 2012

KUNA WALAKINI KATIKA KIFO CHA MWANGOSI

Gazeti hili limesema hivi kuhusiana na uchumguzi wa namna ya Mwandishi Mwenzao alivyouawa ambapo Mhariri Mtendaji wa Gazeti hili alikuwa ni mmoja kati ya wanakamati waliofanya uchunguzi wa kutafuta ninini hasa kilichomuua Mwandishi Mwangosi.

Hili nalo lilisema hivi, huu ni uchunguzi uliofanywa na Tume ya waandishi wa Habari