Thursday, October 18, 2012

KANISA JINGINE LIMECHOMWA MOTO

Kwa taarifa za uhakika nilizozipata hivi punde nikwamba kanisa jingine limechomwa moto na watu ambao bado hawajafahamika huko Yombo wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Naombeni wadau wangu muwe na Subira niendelee kufwatilia ili niwape Full information.